Salmos 31

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ (SWHONEN)

1 Ee Bwana, nimekukimbilia wewe,

2 Nitegee sikio lako,

3 Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu,

4 Uniepushe na mtego niliotegewa,

5 Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako,

6 Ninawachukia wale wanaongʼangʼania sanamu batili;

7 Nitafurahia na kushangilia upendo wako,

8 Hukunikabidhi kwa adui yangu

9 Ee Bwana unihurumie, kwa kuwa niko kwenye shida;

10 Maisha yangu yamedhoofika kwa majonzi,

11 Kwa sababu ya adui zangu wote,

12 Nimesahaulika miongoni mwao kama mtu aliyekufa,

13 Kwa maana nimesikia maneno niliyosingiziwa na wengi;

14 Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee Bwana;

15 Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako,

16 Mwangazie mtumishi wako uso wako,

17 Usiniache niaibike, Ee Bwana,

18 Midomo yao isemayo uongo na inyamazishwe,

19 Tazama jinsi ulivyo mkuu wema wako,

20 Unawahifadhi katika uvuli wa uwepo wako

21 Atukuzwe Bwana,

22 Katika hofu yangu nilisema,

23 Mpendeni Bwana ninyi watakatifu wake wote!

24 Kuweni hodari na mjipe moyo,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado

Estude este capítulo no WhatsApp

Peça à IA da Bíblia Fala para explicar Salmos 31, comparar traduções ou montar um estudo — tudo direto pelo WhatsApp.