1 Crônicas 25
Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ (SWHONEN) vs NTLH
1 Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii:
1 O rei Davi e os líderes dos levitas escolheram os seguintes grupos de famílias de levitas para dirigirem os cultos de adoração: Asafe, Hemã e Jedutum. Eles deviam anunciar as mensagens de Deus, acompanhados por música de harpas , liras e pratos. Esta é a lista dos homens escolhidos para este serviço:
2 Kutoka kwa wana wa Asafu walikuwa:
2 Os quatro filhos de Asafe: Zacur, José, Netanias e Asarela. Quem os dirigia era Asafe, que anunciava as mensagens de Deus quando o rei mandava.
3 Wana wa Yeduthuni walikuwa sita:
3 Os seis filhos de Jedutum: Gedalias, Zeri, Jesaías, Simei, Hasabias e Matitias. Dirigidos pelo seu pai, eles anunciavam a mensagem de Deus, acompanhados por música de liras, e cantavam louvores e agradecimentos a Deus, o Senhor .
4 Wana wa Hemani walikuwa:
4 Os catorze filhos de Hemã: Buquias, Matanias, Uziel, Sebuel, Jerimote, Hananias, Hanani, Eliata, Gidalti, Romanti-Ézer, Josbecasa, Maloti, Hotir e Maaziote.
5 Wote hawa walikuwa wana wa Hemani mwonaji wa mfalme. Aliwapata wana hawa kutokana na ahadi ya Mungu ili kumwinua. Mungu alimpa Hemani wana kumi na wanne na binti watatu.
5 Deus deu a Hemã, o profeta do rei, esses catorze filhos e também três filhas, conforme havia prometido, a fim de dar poder a Hemã.
6 Hawa wanaume wote walikuwa chini ya usimamizi wa baba yao kwa ajili ya uimbaji katika Hekalu la Bwana wakitumia matoazi, zeze na vinubi, kwa ajili ya huduma katika nyumba ya Mungu. Asafu, Yeduthuni na Hemani walikuwa chini ya usimamizi wa mfalme.
6 Todos os seus filhos cantavam nos serviços religiosos do Templo, tocando pratos, liras e harpas. Quem os dirigia era o pai. Asafe, Jedutum e Hemã estavam debaixo das ordens do rei.
7 Pamoja na ndugu zao wote walikuwa wamefundishwa na kuwa stadi wa uimbaji kwa Bwana. Idadi yao walikuwa 288.
7 Os músicos treinados para tocar instrumentos e cantar louvores a Deus, o Senhor , eram duzentos e oitenta e oito ao todo.
8 Vijana kwa wazee, walimu kwa wanafunzi, wote walipanga kazi zao kwa kupiga kura.
8 Para organizar os turnos de serviço, todos eles tiraram sortes, tanto os jovens como os velhos, os já treinados e os principiantes.
9 Kura ya kwanza, ambayo ilikuwa kwa ajili ya Asafu, ilimwangukia Yosefu, // wanawe na jamaa zake,
9 — ausente —
10 Ya tatu ikamwangukia Zakuri, // wanawe na jamaa zake,
10 — ausente —
11 ya nne ikamwangukia Isri, // wanawe na jamaa zake,
11 — ausente —
12 ya tano ikamwangukia Nethania, // wanawe na jamaa zake,
12 — ausente —
13 ya sita ikamwangukia Bukia, // wanawe na jamaa zake,
13 — ausente —
14 ya saba ikamwangukia Yesarela, // wanawe na jamaa zake,
14 — ausente —
15 ya nane ikamwangukia Yeshaya, // wanawe na jamaa zake,
15 — ausente —
16 ya tisa ikamwangukia Matania, // wanawe na jamaa zake,
16 — ausente —
17 ya kumi ikamwangukia Shimei, // wanawe na jamaa zake,
17 — ausente —
18 ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, // wanawe na jamaa zake,
18 — ausente —
19 ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, // wanawe na jamaa zake,
19 — ausente —
20 ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, // wanawe na jamaa zake,
20 — ausente —
21 ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, // wanawe na jamaa zake,
21 — ausente —
22 ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, // wanawe na jamaa zake,
22 — ausente —
23 Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, // wanawe na jamaa zake,
23 — ausente —
24 ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, // wanawe na jamaa zake,
24 — ausente —
25 ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, // wanawe na jamaa zake,
25 — ausente —
26 ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, // wanawe na jamaa zake,
26 — ausente —
27 ya ishirini ikamwangukia Eliatha, // wanawe na jamaa zake,
27 — ausente —
28 ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, // wanawe na jamaa zake,
28 — ausente —
29 ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, // wanawe na jamaa zake,
29 — ausente —
30 ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, // wanawe na jamaa zake,
30 — ausente —
31 ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, // wanawe na jamaa zake,
31 — ausente —
Atalhos do teclado
- Capítulo anterior←
- Próximo capítulo→
- Versículo anteriork
- Próximo versículoj
- Limpar seleçãoEsc
- Esta ajuda?
Estude este capítulo no WhatsApp
Peça à IA da Bíblia Fala para explicar 1 Crônicas 25, comparar traduções ou montar um estudo — tudo direto pelo WhatsApp.