Salmos 143

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ (SWHONEN)

1 Ee Bwana, sikia sala yangu,

2 Usimhukumu mtumishi wako,

3 Adui hunifuatilia,

4 Kwa hiyo roho yangu inazimia ndani yangu,

5 Nakumbuka siku za zamani;

6 Nanyoosha mikono yangu kwako,

7 Ee Bwana, unijibu haraka,

8 Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma,

9 Ee Bwana, uniokoe na adui zangu,

10 Nifundishe kufanya mapenzi yako,

11 Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu,

12 Kwa upendo wako usiokoma,

Ler em outra tradução

Comparar lado a lado

Estude este capítulo no WhatsApp

Peça à IA da Bíblia Fala para explicar Salmos 143, comparar traduções ou montar um estudo — tudo direto pelo WhatsApp.