Apocalipse 19
Swahili NT (SWA) vs AAI
1 Baada ya hayo nikasikia kitu kama sauti kubwa ya umati wa watu wengi mbinguni ikisema, "Haleluya! Ukombozi, utukufu na nguvu ni mali yake Mungu wetu!
1 Iti ufunamaim ayu uruw gagamin maiyow anowar, sabuw rou’ay gagamin na’in fanah sib hiwow hio,
2 Maana hukumu yake ni ya kweli na ya haki. Amemhukumu yule mzinzi mkuu ambaye alikuwa ameipotosha dunia kwa uzinzi wake. Amemwadhibu kwa sababu ya kumwaga damu ya watumishi wake!"
2 Anayabin i ana baibatiyen i turobe naatu mutufor.
3 Wakasema, "Asifiwe Mungu! Moshi wa moto unaoteketeza mji huo utapanda juu milele na milele!"
3 Sabuw iban hiwow maiye hio, “Orokaiwa! Iti babin na’a’arah ana sow boro nayen wanatowan, wanatowan.”
4 Na wale wazee ishirini na wanne, na vile viumbe hai vinne, wakajitupa chini, wakamwabudu Mungu aliyeketi juu ya kiti cha enzi wakisema, "Amina! Asifiwe Mungu!"
4 Regaregah ai’in etei 24 naatu sawar yawasih ma’anih etei yumatah aubabe hire God ana urama’ama tafanamaim ma’am hikwafir fanah sib hio, “Turobe! Orokaiwa!”
5 Kisha kukatokea sauti kwenye kiti cha enzi: "Msifuni Mungu enyi watumishi wake wote, nyote mnaomcha, wadogo kwa wakubwa."
5 Imaibo urama’amamaim fanan hinowar eo,
6 Kisha nikasikia kitu kama sauti ya umati mkubwa wa watu na sauti ya maji mengi na ya ngurumo kubwa, ikisema, "Haleluya! Maana Bwana Mungu wetu Mwenye Uwezo ni Mfalme!
6 Naatu ayu sabuw rou’ay gagamin hai uruw, siku ere gurugur ebiwa’a na’atube, naatu farafarar erab kereker ebiwa’an na’atube anowar hio,
7 Tufurahi na kushangilia; tumtukuze, kwani wakati wa arusi ya Mwanakondoo umefika, na bibi arusi yuko tayari.
7 It etei’imak taniyasisir naatu tanakawasa,
8 Amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung`aa!" (Nguo hiyo ya kitani safi ni matendo mema ya watu wa Mungu.)
8 Faifuw boubun gewasin biyan kousisi’arin anababatun hitin usin isan.”
9 Kisha malaika akaniambia, "Andika haya: Heri wale walioalikwa kwenye karamu ya arusi ya Mwanakondoo!" Tena akaniambia, "Hayo ni maneno ya kweli ya Mungu."
9 Imaibo tounamatar iuwu, “Abisa ku’i’itah inakirum, sabuw iyab Lamb ana tabin isan hifefeyanih hina tabin ana hiyuwmaim tirur boro baigegewasin hinab.” Naatu iuwu maiye, “Iti tur i turobe God ana tur.”
10 Basi, mimi nikaanguka kifudifudi mbele ya miguu yake nikataka kumwabudu. Lakini yeye akaniambia, "Acha! Mimi ni mtumishi tu kama wewe na ndugu zako; sote tunauzingatia ukweli ule alioufunua Yesu. Mwabudu Mungu! Maana ukweli alioufunua Yesu ndio unaowaangazia manabii."
10 Iti turamaim ayu anamaim ara’iy akwafir, baise iuwu eo, “Men iti na’atube inasinaf. O ayu airit i God ana akir wairafit, taituwa baitumatumayah afa bairi, it etei i Jesu isan tao’orereb. God akisin inakwafir, anayabin sabuw iyab Jesu isan teorereb i Anun Kakafiyin ana fairamaim teo’orereb.”
11 Kisha nikaona mbingu zimefunguliwa; na huko alikuwako farasi mmoja mweupe, na mpanda farasi wake aliitwa "Mwaminifu" na "Kweli". Huyo huhukumu na kupigana kwa ajili ya haki.
11 Imaibo ayu mar ana etawan botawiy aitin, naatu nau’umaim horse biyan kwes ana boyeyan wabin Bosunub naatu Turobe batabat aitin. Iti orot i sabuw hai ma gewas isan ibatiyih naatu ibiyow.
12 Macho yake ni kama mwali wa moto, na alikuwa amevaa taji nyingi kichwani. Alikuwa ameandikwa jina ambalo hakuna mtu alijuaye isipokuwa tu yeye mwenyewe.
12 Matan i wairaf woun etoto’ab na’atube, ukwarinamaim i kowas moumurih, wabin biyanamaim hikikirum anayabin men yait ta so’ob, baise i akisinamo so’ob.
13 Alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. Na jina lake huyo ni "Neno la Mungu."
13 Ana faifuw rara’amaim hibibour i bai ius, wabin i God ana Tur.
14 Majeshi ya mbinguni yalimfuata yakiwa yamepanda farasi weupe na walikuwa wamevaa mavazi ya kitani, meupe na safi.
14 Mar ana baiyowayah hi’ufunun faifuw kwes gewasih hi’osen horse biyah kwes afe’eh hiyen hin.
15 Upanga mkali hutoka kinywani mwake, na kwa upanga huo atawashinda mataifa. Yeye ndiye atakayetawala kwa fimbo ya chuma na kuikamua divai katika chombo cha kukamulia zabibu za ghadhabu kuu ya Mungu Mwenye Uwezo.
15 Awanamaim tafaram afu’afuw ana kaiy wan so’arin tit. Naatu boro ana iron tu’emaim nabonawiyih. God fairin ana yaso’ar gagamin boro wine bunubunuw ana efanamaim nawas kweyakweyar natit.
16 Juu ya vazi lake, na juu ya mguu wake, alikuwa ameandikwa jina: "Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana."
16 Ana faifuwamaim naatu taiyanamaim wabin iti hikirum.
17 Kisha nikamwona malaika mmoja amesimama katika jua. Akapaaza sauti na kuwaambia ndege wote waliokuwa wanaruka juu angani, "Njoni! Kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya Mungu.
17 Imaibo tounamatar veya afe’en batabat aitin, naatu mamu yate hi’in hiroberob isah fanan aumetawat na’in eaf eo, “Kwa etei kwaru’ay God ana hiyuw gagamin isan.
18 Njoni mkaitafune miili ya wafalme, ya majemadari, ya watu wenye nguvu, ya farasi na wapanda farasi wao; njoni mkaitafune miili ya watu wote: walio huru na watumwa, wadogo na wakubwa."
18 Kwana saise aiwob sabuw, baiyowayah hai ukwarih, orot fairih, horse, naatu horse hai boyeyah, bai’akirayah, naatu men bai’akirayah, sabuw gagamih naatu sabuw gidigidih etei biyah finimih kwa’aa.”
19 Kisha nikaona yule mnyama pamoja na mfalme wa dunia na askari wao wamekusanyika pamoja kusudi wapigane na yule aliyekuwa ameketi juu ya farasi, pamoja na jeshi lake.
19 Imaibo ayu sawaidab naatu tafaram ana aiwob etei hai baiyowayah bairi hiru’ay orot ana horse afe’en ma’am ana baiyowayan bairi baiyow isan hinan aitih.
20 Lakini huyo mnyama akachukuliwa mateka, pamoja na nabii wa uongo aliyekuwa akifanya miujiza mbele yake. (Kwa miujiza hiyo, alikuwa amewapotosha wale waliokuwa na chapa ya huyo mnyama, na ambao walikuwa wameiabudu sanamu yake.) Huyo mnyama pamoja na huyo nabii walitupwa wote wawili, wakiwa wazimawazima, ndani ya ziwa linalowaka moto wa kiberiti.
20 Baise sawaidab hibai hifatum naatu ana dinab orot baifuwenayan i wabinamaim ina’inan sisinaf auman hibai hifatum. Iti ina’inanamaim sabuw iyab sawaidab ana ewow hibai hima’am naatu sawaidab ana yumatabe ifufuwih hikwakwafir isan hairi’ika hifatum yawasih wairaf wanatowan etoto’ab ana kukuf yan hisrouwih hire eatuturih.
21 Majeshi yao yaliuawa kwa upanga uliotoka kinywani mwa yule anayepanda farasi. Ndege wote wakajishibisha kwa nyama zao.
21 Baise hai sabuw ura’u’unin etei i orot nati horse tafaram ma’am, awanamaim kaiy titit, imaim yow tar himorob, naatu mamu etei hirob hire biyah finimih hi’aa.
Atalhos do teclado
- Capítulo anterior←
- Próximo capítulo→
- Versículo anteriork
- Próximo versículoj
- Limpar seleçãoEsc
- Esta ajuda?
Estude este capítulo no WhatsApp
Peça à IA da Bíblia Fala para explicar Apocalipse 19, comparar traduções ou montar um estudo — tudo direto pelo WhatsApp.