1 Hili ndilo neno alilosema Bwana kupitia nabii Yeremia kuhusu Babeli na nchi ya Wakaldayo:
2 “Tangazeni na mhubiri katikati ya mataifa,
3 Taifa kutoka kaskazini litamshambulia,
4 “Katika siku hizo, wakati huo,”
5 Wataiuliza njia iendayo Sayuni
6 “Watu wangu wamekuwa kondoo waliopotea;
7 Yeyote aliyewakuta aliwala;
8 “Kimbieni kutoka Babeli;
9 Kwa maana nitaamsha na kuleta dhidi ya Babeli
10 Kwa hiyo Ukaldayo utatekwa nyara;
11 “Kwa sababu hushangilia na kufurahi,
12 mama yako ataaibika mno,
13 Kwa sababu ya hasira ya Bwana hatakaliwa na mtu,
14 “Shikeni nafasi zenu kuzunguka Babeli,
15 Piga kelele dhidi yake kila upande!
16 Katilieni mbali mpanzi kutoka Babeli,
17 “Israeli ni kundi lililotawanyika
18 Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo:
19 Lakini nitamrudisha Israeli katika malisho yake mwenyewe
20 Katika siku hizo, wakati huo,”
21 “Shambulieni nchi ya Merathaimu
22 Kelele ya vita iko ndani ya nchi,
23 Tazama jinsi nyundo ya dunia yote
24 Nimetega mtego kwa ajili yako, ee Babeli,
25 Bwana amefungua ghala lake la silaha
26 Njooni dhidi yake kutoka mbali.
27 Waueni mafahali wake wachanga wote;
28 Wasikilizeni watoro na wakimbizi kutoka Babeli
29 “Waiteni wapiga mishale dhidi ya Babeli,
30 Kwa hiyo, vijana wake wanaume wataanguka barabarani;
31 “Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,”
32 Mwenye majivuno atajikwaa na kuanguka,
33 Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote:
34 Lakini Mkombozi wao ana nguvu;
35 “Upanga dhidi ya Wakaldayo!”
36 Upanga dhidi ya manabii wake wa uongo!
37 Upanga dhidi ya farasi na magari yake ya vita
38 Ukame juu ya maji yake!
39 “Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo,
40 Kama vile Mungu alivyoangamiza Sodoma na Gomora
41 “Tazama! Jeshi linakuja kutoka kaskazini;
42 Wamejifunga pinde na mikuki;
43 Mfalme wa Babeli amesikia habari kuwahusu,
44 Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani
45 Kwa hiyo, sikia kile Bwana alichokipanga dhidi ya Babeli,
46 Kwa sauti ya kutekwa kwa Babeli, dunia itatetemeka;