1 Kisha Bwana akaniambia: “Hata kama Mose na Samweli wangesimama mbele zangu, moyo wangu usingewaelekea watu hawa. Waondoe mbele za macho yangu! Waache waende!
2 Nao kama wakikuuliza, ‘Twende wapi?’ Waambie, ‘Hili ndilo Bwana asemalo:
3 Bwana asema, “Nitatuma aina nne za waharabu dhidi yao: nazo ni upanga ili kuua na mbwa ili wakokote mbali, ndege wa angani na wanyama wa nchi ili kula na kuangamiza.
4 Nitawafanya wawe machukizo kwa falme zote za dunia kwa sababu ya kile alichofanya Manase mwana wa Hezekia mfalme wa Yuda huko Yerusalemu.
5 “Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu?
6 Umenikataa mimi,” asema Bwana.
7 Nitawapepeta kwa uma wa kupepetea
8 Nitawafanya wajane wao kuwa wengi
9 Mama mwenye watoto saba atazimia
10 Ole wangu, mama yangu, kwamba ulinizaa,
11 Bwana akasema,
12 “Je, mtu aweza kuvunja chuma,
13 Utajiri wako na hazina zako nitavitoa kuwa nyara,
14 Nitakufanya uwe mtumwa wa adui zako
15 Wewe unafahamu, Ee Bwana,
16 Maneno yako yalipokuja, niliyala;
17 Kamwe sikuketi katika kundi la wafanyao sherehe,
18 Kwa nini maumivu yangu hayakomi,
19 Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana:
20 Nitakufanya wewe uwe ukuta kwa watu hawa,
21 “Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu,